walaa gamal
i love uislamu
Swalah katika uislamu. Maana Ya Janaba, Na Kuoga Janaba Kwa Asiyeoa- utwahara. JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu janaba. Janaba ni hali ya mwanamme au mwanamke kutoa maji (manii) kutika uchi wake wa mbele au kujimai mume na mke, ikiwa watashusha (kutoa manii) au bila kushusha maadam zimekutana tupu zao mbili kwa kuingiliana. Kwa asiyeoa au kuolewa ipo njia moja tu ya kimaumbile ambayo anaweza kupata janaba nayo ni kuota na kisha kutoa maji ya manii ima akiwa amelala au akiwa macho.
Na ama akiwa ameoa au ameolewa basi kule kujamiiana kunawafanya wote wawili wawe katika hali ya janaba. Ikiwa mume amecheza na mkewe bila kujimai naye, yeye pekee akashusha au wote wawili, basi katika hali hiyo, mume pekee au wote wawili watakuwa katika janaba. Swala ya Sunna- swalah katika uislamu. Maana ya Swala ya Sunna (kujitolea) Swalah iliyowekwa na Sheria isiyokuwa ya lazima Fadhla za Swalah ya Sunnah 1.
Swala ya sunna ni sababu ya mja kupendwa na Mwenyezi Mungu. Imekuja kwenye hadithi Alqudusiy kwamba Mwenyezi Mungu Aliyetukuka ansema: (Haachi mja wangu kuendelea kujikurubisha kwangu kwa sunna mpaka nimpende, na ninapompenda nitakuwa ni masikizi yake ya kusikia na maangalizi yake ya kuonea na mkono wake wa kushikia na mguu wake wa kuendea, na akiniomba nitampa, na akijilinda kwangu nitamlinda) [Imepokewa na Bukhari.] Namna ya kuswali- swalah katika uislamu. Amesema Mtume ﷺ (Swalini kama munavoniona mimi nikiswali) [ Imepokewa na Bukhari] Aisha alipokewa kwamba alisema: (Mtume ﷺ alikuwa akifungua Swalah kwa Takbiri na kisomo cha “Alhamdu lillaahi Rabbil ‘aalamiin”, na alikuwa akirukuu hakiinamishi kichwa chake na wala hakisimamishi sawa, bali alikikiweka baina ya hali hizo mbili.
Na alikuwa akiinua kichwa chake kutoka kwenye rukuu, hasujudu mpaka alingane katika kusimama. Na alikuwa akisoma Atahiyatu katika kila rakaa mbili, na alikuwa akikalia mguu wake wa kushoto na akiusimamisha mguu wake wa kulia. Saumu(funga) za Sunna- Al-feqh. Maana ya saumu za sunna Saumu yoyote amabayo sio ya lazima na mtu anaifunga ili kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu U Na saumu ya sunna ina fadhila kubwa na malipo makubwa.
Katika Hadithi Al-Qudsy kutoka kwa Abu Hureirah t Anasema: Amesema Mtume (saw): “Kila kitendo chema cha mwanadamu malipo yake huongezwa, jema moja hulipwa kwa kumi mfano wake mpaka kufikia mara sabini. Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Isipokuwa saumu, kwani hiyo ni yangu mimi, na mimi ndiye mwenye kuilipa” [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]. Siku ambazo kwamba ni sunna kufunga. Mwanamke Anapomaliza Hedhi Anaweza Kufanya Wudhuu Pekee Kisha Afanye Jimai Na Mumewe Kabla Ya Kuoga Ghuslu?- utwahara. JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Rai za Maulamaa kuhusu kumuingilia mwanamke anapomaliza hedhi kabla ya kufanya ghuslu zimepatikana nazo ni kama zifuatazo: Rai ya kwanza ni kwamba hadi mwanamke amalize hedhi na afanye ghuslu (aoge josho). Hii kutokana na kauli ya Allaah: “Na wanakuuliza juu ya hedhi. Waambie, huo ni uchafu. Maana ya Al-ilah ( mwenye kuabudiwa)_with Allah. Saumu(funga) za Sunna- Al-feqh. JE, WATU WANA HAJA NA MITUME?_njia ya saada. Uchovu wa akili Mwenyezi Mungu ameumba viumbe wake katika umbile (fitra) sahihi, na akawawekea akili ili waweze kupambanua baina ya haki kwenye batili, na kwa sababu akili za wanadamu zina mapungufu na udhaifu, matamanio na maslahi, bali na migongano ndani yake.
Katika hali hiyo wanachokiona baadhi ya watu kuwa ni kizuri na wema wengine wanaweza kukiona kuwa kibovu, bali hata mtu mmoja anaweza kubadilika rai yake kwa kubadilika kwa zama na mahali, pamoja na kuwa akili hizo haziwezi kudiriki kilichojificha katika hali halisi katika elimu mbali mbali, kadhalika hawezi kudiriki muradi wa Muumba, maamrisho yake na makatazo yake, mbali na kuwa mwanadamu hawezi kupokea kutoka kwa Allah moja kwa moja, Allah amesema: “Na haikuwa kwa mwanaadamu kwamba Mwenyezi Mungu amsemeze ila kwa Wahyi (Ufunuo), au kwa nyuma ya pazia, au kumtuma Mjumbe. Naye humfunulia ayatakayo kwa idhini yake. Hakika Yeye ni Mtukufu, Mwenye hikima. ” (42:51) Sehemu ya Misimo. WasifuIdul-Fitri ni neema, furaha, ibada, na kikamilisho cha mwezi wa Ramadhani tukufu.
Katika Idi hii kuna Zaka za Fitri ambazo zitamsafisha mwenye kufunga na upuzi na uchafu . Katika hii Idi itajitokeza maana mengi ya Uislamu ya Kijamii na Kibinadamu. Katika Idi nyoyo zinakuribiana juu ya mapenzi na watu wanakusanyika baada ya kupambanukana. Katika Idi kuna kukumbusha watu haki ya wanyonge katika jamii ya Kislamu, mpaka furaha ienee kila kila nyumba na neema iingie kila familial. Saumu(funga) za Sunna- Al-feqh. Huu ni Uumbaji wa Mungu!! Hedhi Haikujitokeza Kikamilifu - Je Swawm Inafaa Siku Hiyo? - saumu. Viungo Vipi Vinne Vya Mwanamke Vilivyokusudiwa Kwenye Jimai Ni Vipi, Na Kwa Nini Ni Hivyo Tu?- utwahara. JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwanza kabla hatujajibu swali lako, tunakukumbusha kuwa unapoandika jina la Allaah au Mtume, au Maswahaba usifupishe mbele yake kwa kuweka (S.W.) au (S.A.W.) au (R.A) kama ilivyozoelekea na wengi, bali andika kwa kirefu maneno hayo bila ya kuyafupisha. Andika (Subhaanahu wa Ta’ala) baada ya kumtaja Allaah, na andika Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) au (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) baada ya kumtaja Mtume. Hivyo ndivyo inavyopaswa, na ndio heshima zaidi na utukufu na ndivyo inavyotamkwa na si kama inavyofupishwa na wengi kimazoea. Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu viungo vinne vya mwanamke. Mas-hul-Khuffayn - Kufanya Wudhuu Juu Ya Soksi Au Viatu- utwahara. JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa ndugu muulizaji swali. Suala la kupangusa juu ya soksi ni katika jambo ambalo linaondoa uzito kwa Muislamu pindi anapokuwa anataka kutekeleza Ibaadah ya Swalah. Allaah (Subhaanahu wa Ta‘ala) Anatueleza kuhusu usahali na wepesi wa Dini hii inayokwenda sambamba na maumbile ya mwanaadamu: “Wala hakuweka juu yenu mambo mazito katika Dini” (22: 78). Ama kupangusa kwenye soksi ina masharti yake ambayo yanafaa kutimizwa ili kupangusa huko kuwe sahihi kabisa. Anaweza Kuswali Na Damu Inayotoka (Nifasi) Baada Ya Kusafishwa Mimba, Ijapokuwa Hakuzaa- utwahara. Viungo Vipi Vinne Vya Mwanamke Vilivyokusudiwa Kwenye Jimai Ni Vipi, Na Kwa Nini Ni Hivyo Tu?- utwahara. "hii ndio njia ya pekee -tovuti Njia ya saada " Njia pekee ya furaha ya mwanadamu Kila mwenye akili linganifu anaijua njia hii hata kama ataipinga hadharani, hujua kuwa njia hii ndio njia ya furaha ya milele, yeye ni kama waliosemwa na Allah baada ya kukana utume wa Musa (‘Alayhi Salaam) baada yakuwajia miujiza: “Na wakazikataa kwa dhulma na kujivuna, na hali ya kuwa nafsi zao zina yakini nazo.
Basi angalia ulikuwaje mwisho wa mafisadi!” Kuna Du’aa Maalumu Ya Swalaah ya Dhwuhaa?- swalah. FADIHLA YA KUDUMU KATIKA TAUHIDI (KUMPOKESHA MWENYEZI MUNGU) WasifuUmoja wa Mwenyezimngu ndio msingi mkubwa ambao zimesimama juu yake mbingu na ardhi, na kwa ajili yake waliuimbwa binadamu na majini na wametumilizwa Mitume. Na kwa kadiri ya mtu anvyompwekesha Mwenyezi Mungu na kumtakasia, na anavyojiepusha na ushirikina wa nje na wa ndani ndivyo kadiri anavyokuwa katika amani na uongofu wa duniani na Akhera Utangulizi Shukrani za dhati ni kwa Mola Mkarimu. MINBARI YA ULIMWENGU.